BIASHARA YA MAKAA YA MAWE ILIVYOSHAMIRI RUVUMA,ZAIDI YA TANI MILIONI MOJA ZAUZWA NJE KWA MIEZI SITA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 11, 2023

BIASHARA YA MAKAA YA MAWE ILIVYOSHAMIRI RUVUMA,ZAIDI YA TANI MILIONI MOJA ZAUZWA NJE KWA MIEZI SITA

Waziri Mkuu Mheshmiwa Kassim Majaliwa  alipotembelea na kukagua kampuni ya Jitegemee Holding inayochimba makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro Kata ya Ruanda wilayani Mbinga na kuridhishwa na kushamiri kwa biashara ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Jitegemee katika  eneo la mauzo ya makaa ya mawe bandari ya nchi kavu kijiji cha  Paradiso wilaya ya Mbinga


mgodi wa makaa ya mawe wa Kampuni ya Jitegemee Holding katika kijiji cha Ntunduwaro  wilayani Mbinga 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad