WASANII WAIPAMBA UNI AWARDS 2022 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 6, 2022

WASANII WAIPAMBA UNI AWARDS 2022

 

 

Wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva na Singeli usiku wa tarehe 4 Desemba, 2022 wamenogesha hafla ya utoaji tuzo za UNI AWARDS,  hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam na kuwakosha mamia ya wanafunzi waliohudhuria kutoka vyuo mbalimbali nchini.

Wasanii hao maarufu  ni Maarifa, Dulla Makabila na Dogo Janja. 

 Mgeni rasmi alikuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa Dkt. Kedmon Mapana akimuwakilisha Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Mohamed Mchengerwa.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad