Mwanasheria wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) Fadhila Sair Haneni akimuapisha Rais wa Serikali ya Wanafunzi (KISTISO) Hassan Songoro Maulid Pamoja na Makamo wake Kauthar Ibrahim Makame , hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hija Mbweni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment