Wakazi wa halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara wamelalamikia tatizo la kukosekana kwa mitaro ya barabara za ndani za halmashauri hiyo hali inayopelekea maji kutuama kwa nyakati za masika . Ambapo barabara hizo ujengwa na kampuni ya SUMA.
Wednesday, May 16, 2018
WANANCHI WALALAMIKIA UJENZI BARABARA BILA YA KUWA NA MITARO, NANYAMBA -MTWARA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment