HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 14 May 2018

WANANCHI WA KIJIJI CHA MKASALE WILAYANI TUNDURU WAMSHUKURU RAIS

Wananchi wa kijiji cha MKASALE katika TARAFA YA NAMASAKATA wilayani TUNDURU mkoani RUVUMA wameishuru serikali ya awamu ya tano kwa kuwajengea kituo cha afya ambacho kitaweza kuhudumia wakazi zaidi 43,195 . ambapo serikali imeleta milioni 400 huku mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDME akiahidi kuleta wataalamu wenye sifa pamoja na vifaa tiba HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad