Hii ni aina mpya ya ufanyaji biashara ya matunda hapa jijini Dar, ambapo wauza matunda wengi hutumia mbinu hii ya kuwa na miti ya matunda husika kuonyesha kuwa matunda hayo ni ya siku hiyo hiyo.
Saturday, July 2, 2016
RAHA YA TUNDA UUONE NA MTI WAKE
Tags
# HABARI
# MAISHA
# MATUKIO MTAANI
# VIJANA
VIJANA
Labels:
HABARI,
MAISHA,
MATUKIO MTAANI,
VIJANA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment