Katika pita pita za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog, leo imeinasa taswira hii mwanana kabisa ya madogo wakisakata kabumbu Mtaani a.k.a Chandimu. kwa wale wenzangu na mie na waliotutangulia kiumri naamini watakuwa wanakumbuka vyema kabisa enzi hizi za Chandimu. ila siku hizi raha sana, maana vijana wanasakata gozi wakati enzi zile ilikuwa ni mipira ya kufuma na makaratasi.


No comments:
Post a Comment