Katiza katiza ya Mtaa kwa Mtaa Leo ilikatiza Mitaa ya Changanyikeni kushuhudia yaliyopo huko Changanyikeni na kujinyakulia Taswira mbalimbali za Mdau akiwa ameuchalaza Usingizi wa Kufa Mtu nje ya Duka la Bwana muuza huku akiwa amewekewa Mawe na Makopo pia akiwa ametiwa loki katika Mguu wake wa kulia kama aonekanavyo hapo....#Kamerayamtaakwamtaablog.
Miguu yake ilionekana kufungwa Mnati huku akiwa amewekewa Mawe kwa juu..
Usingizi mwanana huku Bwana muuza akiendelea na shughuli zake za kupanga Soda kama hajamuona vile..
Ghafla akajitokeza Msamalia ambaye hakupendezwa na kilicho fanyika kwa Mdau huyo atimae kumuamsha na kumtaka aondoke Pahala pale..
Msamalia na Mdau wakijikongoja kuondoka Eneo hilo huku Mnati nao ukimtaka Mdau andelee kufaidi Usingizi palepale...
Msamalia na Mnati wakizozana..
Msamalia alifanikiwa kuushinda ule Mnati na kuanza kuukanya usiludie tena kujifunga kwa Mdau wake..
Msamalia na Mdau njia moja kunako hitajika..









No comments:
Post a Comment