Mpiga Picha alipigwa Picha akipiga Picha na Kamera yetu katika hafla moja hivi hukoo Ukumbini mwa wana mashuhuri katika Shughuli ya Harusi kama aonekananyo hapo Mpiga Picha wetu akiwa ameketi Mkao wa Kazi Kazini..na #Kamerayamtaakwamtaa.
Mpiga Picha wetu katika ubora wakeee..
Hapo alionekana kufurahia jambo mara baada ya kunasa Taswira aliyo kuwa ameiwekea Shabahaa..
Mh..Mpiga Picha wetu nae kwa mbwembweezz ona hiyo Shoti sijui hata inaitwajee..
Hapo akiendelea kutafuta Taswira nyingine zimfaazo..
Hapo hata sigusiii kabisaa maanaa Mpiga Picha wetu nae kwa Chokochoko..







No comments:
Post a Comment