Kamera ya Mtaa kwa Mtaa, imekatiza maeneo ya Kwaminchi jijini Tanga na kuwakuta Wadau hawa wakipiga stori kwenye kijiwe chao cha kila siku, huku wakisubiria abiria wa kukodisha baiskeli zao.
No comments:
Post a Comment