Mgeni rasmi,Waziri wa fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo pamoja na Mkurugenzi wa Airtel Money Kelvin Twisa wakizindua huduma ya Airtel Money kutoka Airtel Tanzania,hafla hiyo imefanyika leo mchana kwenye hotel ya Hyatt-Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania,Bw.Sam Elangallor akishuhudia tukio hilo.
Mgeni rasmi,Waziri wa fedha na Uchumi,Mh Mustafa Mkulo akisoma hotuba yake mbele ya wageni waalikwa mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kwenye uzinduzi wa huduma hiyo itolewayo na Airtel Tanzania.





No comments:
Post a Comment