tag:blogger.com,1999:blog-1202239865294843512.post2501079751874472820..comments2024-03-29T10:21:51.787+03:00Comments on MTAA KWA MTAA BLOG: WADAU WAKUTANA DAR ES SALAAMA KUJADILI NISHATI SAFI YA KUPIKIA Othman Michuzihttp://www.blogger.com/profile/03079913848444767692noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-1202239865294843512.post-45141956339199700292022-11-01T16:49:23.485+03:002022-11-01T16:49:23.485+03:00Sisi Ishai Real Estate na Ishai Company Ltd tumesh...Sisi Ishai Real Estate na Ishai Company Ltd tumeshiriki pamoja na Mkurugenzi wetu Mr Johnson Yesaya Mgelwa katika uzinduzi wa mjadala wa kitaifa kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia leo 01/11/2022.<br /><br />Tunaunga mkono wazo la serikali kuja na mpango wa kuachana na matumizi ya mkaa pamoja na kuni na kuhamia katika matumizi ya nishati zingine kama gesi, umeme, jua na bio-gas kwa lengo la kulinda afya ya mwanamke ambaye ndiye muathirika mkuu wa athari za kiafya zitokanazo na kuni na mkaa.<br /><br />Tutashiriki kikamilifu katika agenda hii. http://www.ishai.co.tzA Lawyer.https://www.blogger.com/profile/08290057986331644664noreply@blogger.com