
Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Afya, Rahimu Masombo, akizungumzawakati akifungua Mafunzo ya Mwaka ya Uimarishwaji kwa wasimamizi wakemikali kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya yanayofanyika kwasiku tatu na kuandaliwa na Ofisi ya Kanda ya Mashariki kwenye ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani Desemba 1, 2025.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akizungumza na wadauwa kemikali (hawapo pichani) kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Afya, Rahimu Masombo (hayupopichani) kufungua mafunzo hayo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara yaAfya yaliyofanyika Kibaha, Pwani, Desemba 1, 2025.
Mkurugenzi wa Huduma za Udhibiti, Daniel Ndiyo (picha ya juu) na Menejawa Ofisi ya Kanda ya Mashariki, Danstan Mkapa (picha ya chini)wakiwasilisha mada kuhusu Muhtasari na Majadiliano ya majukumu yaMamlaka katika Usimamizi na Udhiti wa Kemikali Kitaifa na Kimataifa katikasiku ya kwanza ya mafunzo hayo yaliyofanyika Desemba 1, 2025.
Wadau wa kemikali wakiwasikiliza wawezeshaji kwenye Mafunzo ya Mwakaya Uimarishwaji kwa wasimamizi wa kemikali yanayofanyika kwa siku tatu kwenye ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani, Desemba 1, 2025.Wawezeshaji kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) wakitoa elimu kuhusu Sheria ya Kudhibti na Kupambanana Dawa za Kulevya ya 2025, hususani kemikali bashirifu.
Watumishi wa Mamlaka kutoka Ofisi ya Kanda ya Mashariki, Michael Bernard (picha ya juu) na Revocatus Mwamba (picha ya chini) wakiwasilisha mada kuhusu usimamizi wa usalama wa kemikali (Chemical Safety Management) kwenye Mafunzo ya Mwaka ya Uimarishwaji kwawasimamizi wa kemikali yanayofanyika kwenye ukumbi wa Shule yaUongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani, Desemba 1, 2025.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kushoto) akimpongeza Menejawa Ofisi ya Kanda ya Mashariki, Danstan Mkapa (kulia) kwa kufanikisha kuandaaMafunzo ya Mwaka ya Uimarishwaji kwa wasimamizi wa kemikali yanayofanyikakwenye ukumbi wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani, kuanzia Desemba 1, 2025.

Mtumishi wa Mamlaka, Ofisi ya Kanda ya Mashariki, Gervase Joseph (kushoto) akiandika maswali, maoni, ushauri kutoka kwa wadau mbalimbaliwa kemikali. Kulia ni Meneja wa Kanda ya Mashariki, Danstan Mkapa.


Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Afya, Rahimu Masombo (aliyekaakatikati) akiwa na viongozi kutoka Mamlaka pamoja na wadau wa kemikalibaada ya kufungua Mafunzo ya Mwaka ya Uimarishwaji kwa wasimamizi wakemikali yanayofanyika kwa siku tatu kwenye ukumbi wa Shule ya Uongoziya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani Desemba 1, 2025. Wa pili kutokakushoto ni Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko.
Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Afya, Rahimu Masombo (aliyekaakatikati) akiwa na viongozi kutoka Mamlaka pamoja na Kamati yaMaandalizi ya mafunzo hayo yanayofanyika kwa siku tatu kwenye ukumbiwa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere Kibaha, Pwani, Desemba1, 2025.







No comments:
Post a Comment