RAIS RUTO AKUTANA NA WAZIRI MASAUNI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA ID4AFRICA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 24, 2023

RAIS RUTO AKUTANA NA WAZIRI MASAUNI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA ID4AFRICA

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. William Somoei Ruto akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, wakati alipokuwa anawasili Ukumbi wa Mikutano wa South C, jijini Nairobi nchini Kenya, leo Jumatano tarehe 24 Mei, 2023, kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA unaojadili masuala ya Ikolojia ya Utambuzi. Picha na Felix Mwagara – WMNN. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad