MARIAM ULEGA AZUNGUKA PWANI KUHAMASISHA WANAWWAKE KUJAZA U/TAIFA MACHI 19 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 15, 2023

MARIAM ULEGA AZUNGUKA PWANI KUHAMASISHA WANAWWAKE KUJAZA U/TAIFA MACHI 19

 

Na Khadija Kalili ,Michuzi TV.

MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Pwani (UWT)Mariam Ulega ameanza ziara ya kuwahamasisha wanawake wa Mkoa wa Pwani kujitokeza Machi 19 kumpongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka miwili tangu aingie madarakani.

"Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassa amekua akifanya kazi usiku na mchana na utendaji wake uliotukuka unaonekan hivyo mimi nimejitolea kuzunguka kuwahamasisha wanawake wa Mkoa wa Pwani twende tikaujaze Uwanja wa Taifa siku hiyo" amesema Mariam.

"Kamati ya utekelezaji Mkoa wa Pwani UWT tunapita huku tukiwahamasisha kimama kununua sare na kujitokeza kwa wingi siku ya tarehe 19 tayari tumesha hamasisha Rufiji leo Machi 14 Wilayani Rufiji , Kibiti na Mkuranga kesho Machi 15 tutakwenda kuhamasisha Waya ya Kibaha Vijijini 
Bagamoyo na Chalinze Mkoano Pwani.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mariam Ulega akizungumza katika moja ya mikutano yake .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad