Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amefanya ziara ya kwenye ofisi za tume ya Taifa ya uchaguzi na kufanya mazungumzo na viongozi wa Taasisi hiyo (NEC) Jijini Dodoma. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 28, 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amefanya ziara ya kwenye ofisi za tume ya Taifa ya uchaguzi na kufanya mazungumzo na viongozi wa Taasisi hiyo (NEC) Jijini Dodoma.

 



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akizungumza na watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene akiagana na wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya ziara yake kumalizika. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad