WAZIRI SORAGA AFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA BOTI AINA YA FAIBA KIBWENI ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 4, 2023

WAZIRI SORAGA AFUNGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA BOTI AINA YA FAIBA KIBWENI ZANZIBAR

 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga (KATIKATI)akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa  Kiwanda Cha Kutengenezea Boti aina ya FAIBA kinacho milikiwa na  KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,Kushoto yake ni Mkuu wa KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu (LESTINANT) Kamanda Rashid Masemo kuhusiana na namna wanavyotengeneza Boti baada ya ufunguzi wa Kiwanda hicho kinacho milikiwa na  KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Mafundi wa Kikosi cha KMKM wakishusha Boti Aina ya Faiba iliomalizika kutengenezwa katika Kiwanda Cha Kutengenezea Boti aina ya FAIBA kinacho milikiwa na  KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Boto aina ya Faiba  kinacho milikiwa na  KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Mkuu wa KMKM Komodoo Azana Hassan Msingiri akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Boto aina ya Faiba  kinacho milikiwa na  KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za MikoaSerikali za Mitaa na Idara maalum za smzIssa Mahfoudh Haji akitoa hotuba katika hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Kutengeneza Boto aina ya Faiba  kinacho milikiwa na  KMKM Ngara Kibweni Zanzibar,Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad