UZINDUZI WA BARAZA LA KIST - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 13, 2023

UZINDUZI WA BARAZA LA KIST

 

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Lela Mohamed Mussa akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Baraza la tatu – kipindi cha Pili la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST), na kuwaaga Wajumbe waliomaliza muda wao, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano wa Dkt. Idrissa Muslim Hija katika Taasisi hiyo Mbweni Zanzibar.

PICHA NA MARYAM KIDIKO- KIST.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad