WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR AZINDUA KITUO CHA MAFUNZO YA VIJANA BWELEO ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 7, 2023

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI ZANZIBAR AZINDUA KITUO CHA MAFUNZO YA VIJANA BWELEO ZANZIBAR

-Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa(kulia)akikunjuwa Kita mbaa kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab. akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad