WANAFUNZI WA KIDATU CHA NNE NA SITA KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO ZA KOMPUTA (LAPTOP) NA RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 13, 2023

WANAFUNZI WA KIDATU CHA NNE NA SITA KUKABIDHIWA ZAWADI ZAO ZA KOMPUTA (LAPTOP) NA RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne waliofanya vizuri mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023.(Picha na Ikulu)


BAADHI ya Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne wa Skuli za Sekondari Zanzibar waliofanyika vizuri Mitihani yao ya Taifa  mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, wakimsikilza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023 na kuwakabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi kwa kufaulu Mitihani yao.(Picha na Ikulu)KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake ) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwake ) Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof. Adolf Mkenda na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) kwa Wanafunzi wa Sekondari wa Kitadu cha Sita na cha Nne Zanzibar waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023.(Picha na Ikulu)

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad