VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VILIVYO KUWA MSTARI WA MBELE KUPIGANIA UHURU WA KUSINI MWA AFRIKA WAKIONGOZWA NA CCM WAWASILI ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 18, 2023

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA VILIVYO KUWA MSTARI WA MBELE KUPIGANIA UHURU WA KUSINI MWA AFRIKA WAKIONGOZWA NA CCM WAWASILI ZANZIBAR

 

Leo tarehe 18 Januari 2023 Viongozi wa vyama vilivyokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa kusini mwa Afrika vikiongozwa na CCM wawasili zanzibar na kupokelewa na Viongozi wa CCM wakiongozwa na Ndg. Mohammed Said Mohammed (Dimwa) Naibu Katibu Mkuu Zanzibar,  kwaajili ya ziara ya siku moja ya kutembelea sehemu za kihistoria ambazo zina mahusiano makubwa na harakati za ukombozi wa ukanda wa kusini mwa afrika. 

Ugeni huu umehusisha Viongozi wa Vyama vya Zanu PF (Zimbambwe), SWAPO (Nambia) MPLA ( Angola), na FRELIMO (Mozambique/ Msumbiji) ukiongozwa na  Ndg. Anamlingi Macha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. 

Kazi inaendelea.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad