MKUTANO WA KILIMO-DAKAR SENEGAL - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 26, 2023

MKUTANO WA KILIMO-DAKAR SENEGAL

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023. Katika Mkutano huo ambao Tanzania ilikuwa Mwenyeji, Mhe. Rais Samia aliambatana na baadhi ya Mawaziri pamoja na wakuu wa Taasisi Mbalimbali


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad