Askari akiifungia Bekari ya Mwembetanga kutokana na kutokukidhi vigezo vilivyowekwa na Bodi ya Chakula na Dawa Zanzibar [ZFDA] wakati wa ukaguzi maalum uliofanywa na bodi hiyo kuangalia vigezo mbalimbali ikiwemo usafi na Upimaji wa Afya kwa wafanyabiashara hao katika maeneo ya Mjini.PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.
Askari akifunga baadhi ya vioksi maeneo ya Mwembetanga ambavyo havikutimiza masharti yalioyowekwa na Bodi ya Chakula na Dawa [ZFDA] mara baada ya ukaguzi maalum uliofanywa na bodi hiyo kuangalia vigezo mbalimbali ikiwemo usafi na Upimaji wa Afya kwa wafanyabiashara hao .PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.
Watendaji wa Bodi ya Chakula na Dawa Zanzibar [ZFDA] wafanya ziara maalum kukagua vigezo vya kufanya biashara ya Chakula katika Vioksi,Bekari na Mikahawa mbalimbali maeneo ya Mjini.PICHA NA FAUZIA MUSSA -MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment