WAHITIMU HAKIKISHENI MNAJIKOMBOA NA UMASKINI NA KUISADIA TANZANIA KUFIKIA MAENDELEO ENDELEVU- MKUU WA CHUO KIKUU MZUMBE RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT. ALLY MOHAMMED SHEIN - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, December 2, 2022

WAHITIMU HAKIKISHENI MNAJIKOMBOA NA UMASKINI NA KUISADIA TANZANIA KUFIKIA MAENDELEO ENDELEVU- MKUU WA CHUO KIKUU MZUMBE RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT. ALLY MOHAMMED SHEIN

 


Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein  akizungumzawati wa mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya  yaliyofanyika Disemba 01,2022 jijini Mbeya. 

Ambapo aliwaomba wahitimu wote watambue kuwa maisha ya mtaani sio mepesi yanahitaji kujituma na kufanya kazi kwa bidii hivyo mtalazimika kufanya kazi wakati mwingine katika mazingira magumu lakini kwa maarifa na ubunifu walio upata Chuo Kikuu Mzumbe,  kuhakikisha mnajikomboa na umaskini na kuisadia Tanzania kufikia maendeleo endelevu.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein (Katikati ) Mwenyekiti wa baraza la chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Saida Yahya Othuman (kulia), Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Profesa William Mwegoha (kushoto) wakiimba  wimbo wa  Taifa  leo Disemba 01,2022 jijini Mbeya.(PICHZ ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)


Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwapa vyeti vya kuwatambua wanachuo wanataaluma waliofanya vizuri wakati wa mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya  yaliyofanyika Disemba 01,2022 jijini Mbeya.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalilbali wakati wa mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya  yaliyofanyika Disemba 01,2022 jijini Mbeya.

Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein (Katikati) akiongoza Maandamano ya Kitaaluma
(PICHZ ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)





Sehemu ya  Wazazi na wanafunzi.



Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe wakishangilia katika sherehe za mahafali ya chuo hicho yaliyohudhurishwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein wakati wa mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya yaliyofanyika leo Disemba 01,2022 jijini Mbeya.
(PICHZ ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein (kushotoMwenyekiti wa baraza la chuo kikuu Mzumbe Dk. Saida Yahya Othuman (kulia) wakiteta jambo.


Picha ya pakora
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein  akipokea zawadi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Profesa William Mwegoha.










Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ally Mohammed Shein  akiagana wenyeji wake katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe Leo Disemba 01,2022 jijini Mbeya.
(PICHZ ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA WA MICHUZI TV)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad