MAHAFALI YA 8 KIST - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 26, 2022

MAHAFALI YA 8 KIST

 


Mahafali ya 8 ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume Zanzibar  (KIST), Mgeni Rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, ambae alimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi. Mahafali hiyo imefanyika katika Viwanja vya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume  (KIST) Mbweni Zanzibar.
PICHA NA MARYAM KIDIKO - KIST.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad