WAZIRI MABULA AMTAKIA KHERI YA KUZALIWA MAMA MARIA NYERERE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 31, 2022

WAZIRI MABULA AMTAKIA KHERI YA KUZALIWA MAMA MARIA NYERERE

 

Leo ni kumbukumbu ya mama Maria Nyerere ambaye ametimiza umri wa miaka 93. Katika kuadhimisha siku hiyo Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Dkt Angeline Mabula alimtembelea Mama Maria nyumbani kwake Msasani Dar es Salaam na kumtakia kheri ya siku yake ya kuzaliwa na kumzawadia kitenge.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad