KANISA LA BAPTIST KINONDONI LAWAKUMBUKA WAJANE SIKUKU KRISIMASI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 27, 2022

KANISA LA BAPTIST KINONDONI LAWAKUMBUKA WAJANE SIKUKU KRISIMASI

 


Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki (kushoto)  akipokea kadi ya uanachama ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) kutoka kwa Katibu wa Kanisa hilo, Kenny Mtwale  Leo Desemba 25, 2022.Jijini Dara es Salaam.
(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA, MMG)Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni,Samweli Kabonaki akizungumza na waumini wa Kanisa hilo kwenye ibaada ilifanyika leo Desemba 25, 2022.Jijini Dara es Salaam.ambapo amesema bima ya afya ni muhimu kwa uhakika wa matibabu.
Katibu wa Kanisa Baptist Kinondoni,Kenny Mtwale akikabidhi zawadi za Krisimasi kwa Baadhi ya waumini wa kanisa hilo Leo Desemba 25,2022.Jijini Dara es Salaam.
Mchungaji wa Kanisa la Baptist Kinondoni ,Samweli Kabonaki (kulia) kwa kushirikina na Mwalimu,Edwin Nsyani wa leo Desemba 25, 2022.
Jijini Dara es Salaam.


Ibaada ikiendelea 


Ibaada ikiendelea 


Ibaada ikiendelea
(PICHA NA EMMANUEL MASSAKA, MMG)
Ibaada ikiendelea  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad