JOTI - AHINDA TUZO ZA FILAMU 2022 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 20, 2022

JOTI - AHINDA TUZO ZA FILAMU 2022

 

 

Balozi wa Airtel Tanzania Lucas Mhuvile almaarufu Joti akipokea Tuzo ya Filamu Bora - Ucheshi (Best Comedy) kupitia Tuzo za Filamu Tanzania 2022 zilizofanyika Tarehe 17 Disemba, 2022 jijini Arusha - AICC. Anayemkabidhi ni Raisi wa Shirikisho la Sanaa za Maonesho Bi. Synthia Henjewele. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad