Geita Gold FC na mgodi mkubwa wa Geita Gold Mine wasaini mkataba wa million 800 leo, kwa msimu mmoja wa 2022/2023, ukumbukwe msimu uliopita walitudhamini million 500,Hivyo GGFC ni mwendo wa kazi na Bata.
No comments:
Post a Comment