WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA MAJI KIGAMBONI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 3, 2022

WAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA MAJI KIGAMBONI

 

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. Novemba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasha moja ya pampu zinazozalisha maji katika mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. Novemba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi wa maji kwenda kwa wananchi, wakati alipotembelea na kuzindua mradi wa visima 10 vya maji vilivyopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam, ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji lita milioni 70 kwa siku. Novemba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad