KIKOSI MAALUM CHA KUZUIYA MAGENDO (KMKM) CHAMPONGEZA RAIS MWINYI KWAKUTIMIZA MIAKA MIWILI YA UONGOZI WAKE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 3, 2022

KIKOSI MAALUM CHA KUZUIYA MAGENDO (KMKM) CHAMPONGEZA RAIS MWINYI KWAKUTIMIZA MIAKA MIWILI YA UONGOZI WAKE

 


Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri alivyowasili Forodhani kwenye maonyesho ya vitendo vya baharini katika madhimisho ya sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.
Mkuu wa KMKM Commodore Azana Hassan Msingiri akibadilishana mawazo na Naibu Waziri, Wizara ya Afya Hassan Khamis Hafidh ambae ni mgeni rasmi katika sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.
Baadhi ya walikwa katika sherehe ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi wakifuatilia maonyesho ya vitendo vya baharini yaliyoonyeshwa na wapiga mbizi wa KMKM.

Kikundi cha wapiga makacho Forodhani kikionyesha mabango yenye ujumbe mbalimbali katika sherehe za kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza miaka miwili ya uongozi wake.Wazamiaji wa Kikosi Maalum cha Kuzuiya Magendo (KMKM) wakionyesha namna ya kumuokoa mtu aliezama baharini.Madaktari wa KMKM wakionyesha namna wanavyowasaidia wananchi waliozama baharini.KMKM na Kikosi cha Zimamoto wakisaidiana kuzima moto kwenye bati ikiwa ni sehemu ya manyesho baharini yaliyofanyika Forozani Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga - KMKM 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad