NAIBU BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SBL, MOSHI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 28, 2021

NAIBU BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SBL, MOSHI

 


Naibu balozi wa Uingereza, Rick Shearn (kushoto) na Kemi Williams, Mkurugenzi wa Maendeleo wa ubalozi wa Uingereza (kulia) wakizungumza na uongozi wa SBL (hawapo pichani) katika ziara yao kwenye kiwanda cha SBL kilichopo Moshi.
 Naibu balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Rick Shearn na Kemi Williams, Mkurugenzi wa Maendeleo wa ubalozi wa Uingereza wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda kipya cha kutengeneza pombe kali cha SBL, Moshi.


Naibu balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Rick Shearn (kushoto) wakiteta na Mkurugenzi wa Mahusiano, John Wanyancha (kushoto) katika ziara yake ya kikazi kwenye kiwanda cha Serengeti Breweries Limited (SBL) kilichopo Moshi


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad