HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 22, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI MBUNGE WA MAKETE PROFESA NORMAN SIGALA AMBAYE AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimjulia hali Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Makete Profesa Norman Sigala King ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kumjulia hali leo tarehe 22/9/2018.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad