HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 8 January 2018

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA MRADI WA KUPOOZEA UMEME ENEO LA UNANGA MMOANI RUVUMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, wakati alipowasili kwenye Mradi wa ujenzi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Joyce Mndeme na kulia ni Meneja Mradi Didas Lyamuya. Januari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi katika Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, eneo la Unanga, katika Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Januari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha kupoozea umeme, katika eneo la Unanga, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, kushoto ni Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani. Januari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe, wakati akizindua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tanesco Mkoa wa Ruvuma, lililopo katika Wilaya ya Songea Mjini, Mkoani Ruvuma. Januari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na wananchi, baada ya akizindua ujenzi wa jengo la Ofisi ya Tanesco Mkoa wa Ruvuma, lililopo katika Wilaya ya Songea Mjini, Mkoani Ruvuma. Januari 7, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad