HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 7, 2017

VIDEO:RC RUVUMA ATOA WITO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amewataka wafanya biashara wote nchini kuja mkoani ruvuma kununua mahindi, tamko la kutaka wafanya biashara kuja mkoani ruvuma linakuja baada ya serikali ya awamu ya tano kufungua mipaka kwa ajili ya wafanyabiashara waweze kupeleka mahindi nje ya nchi HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad