HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Saturday, 9 December 2017

MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU ANATARAJIWA KUWA MGENI RASIMI KATIKA KILELE CHA SIKU YA MAADILI DESEMBA 10

 Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika akizungumza na waandishi wa habari juu ya Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu anatarajiwa kuwa mgeni rasimi katika kilele cha siku ya maadili na haki za binadamu Desemba 10 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma.kulia ni Kamishna wa Maadili wa Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Harold R.Nsekela. Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,George Mkuchika akitembelea mabanda mbalimbli katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Dodoma.picha zote na Emmanuel Massaka,Globu jamii Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad