HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 16 November 2017

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 16, 2017

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza mkutano wa tisa wa kikao cha nane wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akijibu maswali ya wabunge wakati wa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu  leo mjini Dodoma unapofanyika mkutano wa tisa wa kikao cha nane.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa  kikao cha nane  cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dk.Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Mbunge wa Karagwe(CCM) Mhe.Innocent Bashungwa wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane  cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Mhe. Dk. Faustine Ndugulile akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya  Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdallah Ulega  akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane  cha  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mbunge wa Nzega Mjini(CCM) Mhe.Hussein Bashe akifurahia jambo na Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Halima Bulembo wakati wa mkutano wa tisa wa kikao cha nane  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Picha zote na Daudi Manongi - MAELEZO,DODOMA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad