HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 19, 2017

YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO, MAGID "KABURU' APEWA UENYEKITI



Makamu Mwenyekiti wa Yanga  Clement Sanga Pamoja na uteuzi wa wa Mwenyekiti na Wajumbe wapya watakaounda  Kamti ya Mashindano ya Klabu hiyo kwa ajili ya msimu mpya wa 2017/18.

Makamu Mwenyekiti Clement Sanga amemrejesha Magid Suleiman ambaye atakuwa Mwenyekiti akisaidiwa na makamu Mustapha Urungu huku wakiteuliwa wajumbe wapya 10.

Sanga atafanya kikao cha kwanza na  kamati hiyo  siku ya jumamosi Saa 4 asubuhi, Makao Makuu ya klabu,jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad