HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 5 April 2017

ZA LEO LEO ZIKIWAHISHWA SOKONI

Dereva wa Guta akiwa na Msaidizi wake wakisukuma Guta lilisheheni ndizi kama walivyokutwa kandokando mwa barabara ya Morogoro.
 Mmoja wa Wachuuzi wa ndizi akiuza ndiz kwa mteja wake kama alivyokutwa na kamera yetu ya Mtaa kwa Mtaa katika eneo la Kisutu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad