HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Wednesday, 22 March 2017

Tanzania "BIG ISHU AWARDS".... Hii si ya Kukosa!​

Kwa mara ya kwanza Candy and candy group of companies wanakuletea Tuzo ya heshima Tanzania "BIG ISHU AWARDS" Tuzo hiyo itatolewa kwenye taasisi mbalimbali,kutokana na ubunifu na namna walivyofanikiwa kubadilisha maisha ya wengi nchini Tanzania.

Tuzo hizo zitalenga makampuni na mashirika mbalimbali kutokana na namna ambavyo zinatoa fursa za kimaendeleo kwa watanzania.

Tuzo hizi pia zinatoa fursa ya kukutanisha wamiliki wa makampuni na mashirika mbalimbali kuweza kusheherekea na kubadilishana mawazo siku hiyo.

Orodha na vipengele vitakavyoshindaniwa katika tuzo hizo ni:-

-CORPORATE COMPANIES
-AGENCIES
-NGO'S
-SOCIAL NETWORKS
-GOVERNMENT MINISTRIES
-MEDIA
-EDUCATION INSTITUTION
-SPORTS
TOURISM AND HOSPITALITY
-ENTERTAINMENT

Big ishu watazindua kampeni ya media kutangaza washiriki wote na miradi yao waliyoanzisha ya kuwasaidia wananchi kubadilisha maisha yao.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:-
Simu namba:- +255652052263
Barua Pepe:- joe@afwab.com​

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad