HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 21 March 2017

RATIBA YA VPL YAPANGULIWA TENA

BODI ya ligi kuu ya Tanzania Bara (TPBL) imefanya mabadiliko ya ratiba ya ligi Kuu kama ifuatavyo

 Ratiba hiyo itahusiana na mechi za timu ya Yanga na Prison (MNO 224) utakaochezwa Mei 06, Yanga na Kagera (MNO 214) Mei 09, Yanga na Mbeya City (MNO 231)Mei 13, Yanga na Toto (MNO 206)Mei 16 zote zitakazochezwa Katika Uwanja wa Taifa.

Katika mechi zingine ni Ruvu Shooting  na Kagera (MNO 223) Mei 05 kwenye Uwanja wa Mlandizi, Azam na Toto Afrika (MNO 227) Mei 12 uwanja wa Azam Complex, Simba na African Lyon (MNO 219) Mei 07 Uwanja wa Taifa.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad