HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Thursday, 23 March 2017

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA STANDARD CHARTERED KANDA YA AFRIKA NA MASHARIKI YA KATI JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati Bw. Sunil Kaushal ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati Bw. Sunil Kaushal pamoja na ujumbe wake uliomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad