HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Tuesday, 21 March 2017

DROO YA MTOANO KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA YAPANGWA, YANGA KUANZA NA WAARABUNa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii

DROO ya hatua ya mtoano ya kuingia kwenye hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho imefanyika mchana wa leo na timu 32 kupangwa kwenye michezo hiyo.

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa Yanga wameingia kwenye hatua hiyo baada ya kushindwa kuingia kwenye makundi ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika.

Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:

1)Yanga vs Mc Alger
2)Enugu rangers vs Zesco
3)Horoya Ac vs IR Tanger
4)AsTanda vs Platinum star
5)BYC vs Supersport united
6)Rivers united vs Rayon
7)ASPL2000 vs Club African
8)Gambia port vs Al Hilal
9)KCCA vs Al Masry
10)CNaPS vs CRD Libolo
11)Bidvest Witts vs Smouha
12)Rail club kadiogo vs CS Sfaxien
13)Cf Mounana vs Asec Mimosah
14)Fus Rabbat vs Maghreb FEZ
15)Ac Leopard vs Mbabane Swalow
16) Tp Mazembe vs Js Kabylie 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad