HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 15, 2016

WANANCHI WATAKIWA KUZINGATIA UJENZI WA CHOO BORA

Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Prof Ayoub Magimba, akizungumza na wadau mbalimbali  wa afya  juu ya Ujenzi wa vyoo bora hauna budi kuzingatia mahitaji muhimu ya mtoto wa kike hasa anapokuwa kwenye hedhi kutokana na takataka zinazotokana na hedhi ni taka hatarishi ni vyema zikadhibitiwa hayo yamesemwa katika mkutano wa  kujadili suala la hedhi salama, leo jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali  wa afya wakimsikiliza Kaimu Mganga Mkuu wa Serikali, Prof Ayoub Magimba katika  mkutano wa kujadili suala la hedhi salama, leo jijini Dar es Salaam.
Wadau mbalimbali  wa afya wakiwa katika mkutano huo leo jijini Dar es Salaam.
 Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad