Mtaa Kwa Mtaa Blog

Vodacom yadhamini bonanza la Kichuo Zaidi Mkoani Morogoro

Meneja wa Vodacom Tanzania Kanda ya Morogoro, Michael Kasubi (katikakati )akiwa kwenye picha ya pamoja na wachezaji wa mpira wa miguu walioshiriki katika bonanza la Kichuo Zaidi lililoandaliwa na kampuni hiyo katika chuo kikuu cha Mzumbe.
Wanafunzi wa chuo chuo kikuu cha Mzumbe wakicheza mpira wa volleyball katika bonanza la Kichuo Zaidi lililoandaliwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika viwanja vya chuo hicho mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa chuo kikuu cha Mzumbe na wa mwaka wa pili na watatu wakishiriki katika mchezo wa kuvuta wa kamba wakati wa Tamasha la Kichuo Zaidi lili hitimisho la mauzo ya Vodacom lililoandaliwa chuoni hapo.
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget