HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 7, 2016

TANZIA:ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA LIGI SAID MOHAMED AFARIKI DUNIA

 ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara Said Mohamed amefariki dunia leo  katika Hospitali ya Agha khan alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Mzee Said Mohamed aliwahi kuwa Meneja mkuu wa Kampuni ya  Azam na  mwenyekiti wa Azam Fc. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

Blog ya Jamii inatoa  pole kwa ndugu na familia ya marehemu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad