HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 14, 2016

Mtanzania Fredy Uisso ashika nafasi ya nne katika mashindano ya Upishi Duniani

Mtanzania Fredy Uisso (kushoto) aliyekwenda Alabama nchini Marekani kushiriki mashindano ya upishi, akikabidhiwa tuzo na Mkurugenzi Mtendaji wa World Food Championships, Mike Mc Cloud mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nne wa mashindano hayo usiku wa kuamkia leo. Uisso anaandika historia ya kuwa Mwafrika wa kwanza kuchaguliwa kushiriki fainali za mashindano hayo na kuibuka mshindi nafasi hiyo huku akiwabwaga wapishi 21 kutoka hoteli kubwa na maarufu duniani walioshiriki fainali hizo zilizoanza Novemba 8 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad