HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 2, 2016

NGOMA MPYA MTAANI: ICHEKI HAPA

Msaniii wa mziki wa kizazi kipya kutoka jijini Arusha @Jerry_Latino Ametoa Video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Elerii ikiwa ni kwa Lugha ya Kimeru ikimaanisha pesa nyimbo hiyo imetengenezwa south Africa Studio za Path Record na kumalizikia Hapa Arusha Tanzania katika studio za Cukaz beat International chini ya Producer Justine cuka

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad