Mtaa Kwa Mtaa Blog

MAELFU YA WATU WALIJITOKEZA KUSHUHUDIA TUKIO LA KIHISTORIA LA KUPATWA KWA JUA RUJEWA MBALARI MKOANI MBEYA...

Maelfu ya Watu kotoka Sehemu Mbalimbali Duniani walijitokeza kwa wingi kushuhudia tukio kubwa la Kihistoria Duniani la kupatwa kwa Jua lililo onekana vyema katika Eneo la Rujewa Relini Wilayani Mbalari Mkoani Mbeya ni Mara baada ya Miaka Mingi tukio hili kutokea Duniani, wengi wafarijika kushuhudia tukio hilo la Kihistoria la kupatwa kwa Jua.
Baadhi ya Wanasayansi kutoka nje ya Nchi ya Tanzania wakipata Taswira ya tukio hilo la kupatwa kwa Jua tukio lililo onekana vyema Eneo la Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.
Taswira ya Muonekano wa Jua likipatwa.
Mkuu wa mkoa wa mbeya kulia Mh.Amos Makalla akizungumza jambo na Mdau Kutoka Katika Eneo la Tukio Rujewa Mbalari Mkoani Mbeya.

Mitambo Ikiwekwa sawa.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG RUJEWA.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
 Picha zikichukuliwa na Wapiga picha.
 Baadhi ya watu Walio hudhuria Eneo la Tukio.
 Biashara Zikiendelea..
 "Njoo Rafikiiii  Mambo yamenogaaaaaa"
 "Mpaka kieleweke Hapaaa"
 Migahawa ya Vyakula Iliamia eneo la Tukio kutoa Huduma ya Chakula.
Burudani ya  Ngoma Za Asili Ikitolewa.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget