HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 11, 2015

WATOTO WA HUKU KWETU WAKIAMUA KUKASIRIKA UNAWEZA KUMKIMBIA...

Kijana Wetu wa Kitaa akiwa amekasirika na Jambo hambalo halikujulikana na kupelekea kuanza Kujigaragaza kwenye Sakafu kwa Hasira kali ya kujeruhi huku Akibubujikwa na Machozi kwa Kukelwa na kitu ambacho hakikuweza fahamika kwa Mapema.
hapo dogo ikijifuta machozi...
Akiendelea kufuta Machozii....
Kijana hapo akipiga Kijicho kujuwa kuwa anasikilizwa au Lahaa maana anaweza kuwa anapiga Kelele kumbe wala hata hakuna mwenye mpango nae kisha kunyamaza kimyaa kimyaa..
Ikabidi ajilaze maana hakuna aliye jitokeza kumyamazishaa...
Wakina Dada nani hii walaa hata hawana mpango wa kumyamazisha wala kumuinua inaonyesha kuwa wanamjua Kijana wetu jinsi alivyoo...#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad